Top 10 Tanzanian classic love songs for February

GadoTz

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
350
567
1. Usiusemee moyo - lady jaydee

2. Latifah - MB Dog

3. Nyota yako - TID

4. Nikupe nini - ManDojo & Domokaya

5. Ukimwona - Diamond Platinumz

6. Nimekuchagua wewe - Bob Ludala

7. Masogange - Belle 9

8. Nakshi Nakshi - Ali kiba

9. Tanita - Q Chillah

10. Hawajui - Mwana FA

Happy Valentine!
 
nadhani namba sita badala ya julie ingekuwa ya NIMEKUCHAGUA WEWE...bob ludala
 
"Awenah" kassim...
Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe,
Sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe,
Ina maana hata kugeuka mpenzi kunitazama hutaki Awena
Basi kama na kosa kwako nililofanya nieleze Awena,
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke,
Tulopanga zamani ina maana si chochote....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom