Top 10 Safest Countries In Africa

Top 10 Safest Countries In Africa

Hapo kwa Tanzania tayari imeshaondoa credibility ya hii report yako, how on earth is Tanzania the safety place to live, albino killings, elderly killings, corruption, poor health services, religious tensions in zanzibar watubwanakosa haki za kuabudu, police killing citizen and torture, total lack of the ruler of law, poor housing and communication infrastructures, terror groups zanalaza watu saa 12 jioni(Panya road),

Sent from my iPad using JamiiForums

Maana yake nchi zingine hali ni mbaya zaidi, simple!!
 
dogo wakati wa Nyerere ujambazi ndio ulikuwa unaongoza afu unasema nini wewe. Hata Nyerere alikuwa Jambazi amedhulumu watu majumba yao afu unasema Tanzania wakati wa Nyerere ilikuwa safest? Hebu nipe dalili zako wakati wa Nyerere lini Tanzania ilikuwa safest duniani?

Dogo weka chuki binafsi pembeni kwanza ndio uje tena, angalia bomu ulilobeba lisikulipukie wewe mwenyewe.
 
Dogo weka chuki binafsi pembeni kwanza ndio uje tena, angalia bomu ulilobeba lisikulipukie wewe mwenyewe.
Chuki mimi huwa sina chuki naongea ukweli tu, wakati wa Nyerere uliona majumba yanaitwa Msajili wa Majumba au ulikuwa huyaoni hayo.
 
Chuki mimi huwa sina chuki naongea ukweli tu, wakati wa Nyerere uliona majumba yanaitwa Msajili wa Majumba au ulikuwa huyaoni hayo.

Bado rudi tena, inaonekana una hasira mzee wako kunyang'anywa nyumba ya serikali.
 
Bado rudi tena, inaonekana una hasira mzee wako kunyang'anywa nyumba ya serikali.
Hahaha mimi mzee wangu alikuwa Nyerere anapiga naye story kama kawaida, alikuwa hana uadui na Nyerere. Mimi naongelea walio dhulumiwa Wahindi na Warabu wakati wa Nyerere, afu we unamsifia.
 
Hahaha mimi mzee wangu alikuwa Nyerere anapiga naye story kama kawaida, alikuwa hana uadui na Nyerere. Mimi naongelea walio dhulumiwa Wahindi na Warabu wakati wa Nyerere, afu we unamsifia.

Pole kwa hayo maumivu hao wahindi na waarabu wako unayopata, ila kwa Tanzania hakuna wa kufananishwa na Nyerere mpaka sasa
 
Back
Top Bottom