Top 10: Mataifa ya watu wenye IQ kubwa zaidi duniani

Sisi Africa tumerisishwa elimu ya kikoloni (elimu ya kusikiliza tu) hatujui kuhoji kabisa.. yan mfano tunafundishwa, engine ina fanya kazi flani ..sisi tumefundishwa kusikiliza tu, hatuhoji kwanin ifanye iyo kazi..

Na ndo maana mainjinia wengi wa kiafrica wanafeli kwenye practical kwa sababu wamekariri tu ili wafaulu mtihani...na field zingine pia!! huu mfumo wa elimu ni wakichoko sana..
 
Back
Top Bottom