Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
According to a recent study by Siteopia.com, volunteers were asked what kind of names they associated with people being good spouses.
Well, Don't hate the player.....
Kwahiyo waislamu hawana 'husband materials'??
According to a recent study by Siteopia.com, volunteers were asked what kind of names they associated with people being good spouses.
Well, Don't hate the player.....
Hahaaa Paulo Sergio De Souz siku nyingine hizo Research zenu muwe mnabaki nazo wenyewe mtatufanya tuanze kuogopa kutaja majina yetu mbele za watu maana kuna mdau mwingne alikujaga na utafiti wake wa majina yanayo pendwa zaidi na wanawake jina no.9 nikalikuta, leo wewe unakuja na Husband material kesho sijui mtakuja na kioja gani mwishowe mtavunja ndoa za watu kutokana na viutafiti vyenu hv.
Fallacy of Hasty Generalization.
Ila sio siri kati ya majina ninayoyapenda ni Chriss.
Paulo umeleta uzi huu kwakuwa na wewe umo? Sijawahi date hayo majina kabisaaaa, yaani pamoja na ile list ndeeeeeef eti hayo majina hayapo!!!
Hahaha. Yule jamaa utafiti wake alifanyia kwenye group yake whats-app. Na alinikata jina kule, so nimehamishia Safari huku.
Basi ndio maana. Wenye hayo majina hatu-date tu, tunaoa kabisa.