Mkuu Baada ya Urusi inayofuatia kwa nguvu duniani ni Mchina halafu ndio M-Marekani. Marekani amebaki ni jina tu hakuna kitu Hali yao ya kiuchumi imeanguka hakuna kitu amerika kumebaki Magora yanayofikia karibu na mbingu na Mabarabara mazuri basi hakuni jipya Amerika.