Halafu hapa pamoja na kuangalia mtandao wa barabara pia nadhani wanaangalia na ubora wake,Rwanda jamani wana barabara bora na imara kwa nchi nzima mfano wa barabara hii kwa ubora hapa kwetu ni kama kile kipande cha kutoka Ngorongoro Olduaare gate hadi Mto wa Mbu make pale hawakuiba sasa ndo kiwango cha barabara nchi nzima Rwanda.Hapa kwetu barabara miaka 5 imeanza mashimo
Hii barabara ya Morogoro ilapaswa mtu awe gerezanHalafu hapa pamoja na kuangalia mtandao wa barabara pia nadhani wanaangalia na ubora wake,Rwanda jamani wana barabara bora na imara kwa nchi nzima mfano wa barabara hii kwa ubora hapa kwetu ni kama kile kipande cha kutoka Ngorongoro Olduaare gate hadi Mto wa Mbu make pale hawakuiba sasa ndo kiwango cha barabara nchi nzima Rwanda.Hapa kwetu barabara miaka 5 imeanza mashimo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahA kabisa,unasemea ya kutoka Moro kuja Dom?Kuna kipande barabara imebonyea kulia na kushoto halafu mgongo utadhani unapita kwenye reli,Hii barabara ya Morogoro ilapaswa mtu awe gerezan
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hako ka Rwanda mnakapa ujiko sana hebu kanyofoeni hapo. Hako si kapo kama Posta tu!!
Tanroad inatakiwa kufutwa..HahahahahahA kabisa,unasemea ya kutoka Moro kuja Dom?Kuna kipande barabara imebonyea kulia na kushoto halafu mgongo utadhani unapita kwenye reli,
Mainjinia wapo wamejipumzisha wakisubiri kuitindua na kuijenga upya kwa bajeti nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hapa pamoja na kuangalia mtandao wa barabara pia nadhani wanaangalia na ubora wake,Rwanda jamani wana barabara bora na imara kwa nchi nzima mfano wa barabara hii kwa ubora hapa kwetu ni kama kile kipande cha kutoka Ngorongoro Olduaare gate hadi Mto wa Mbu make pale hawakuiba sasa ndo kiwango cha barabara nchi nzima Rwanda.Hapa kwetu barabara miaka 5 imeanza mashimo
Sent using Jamii Forums mobile app
African Countries With The Best Roads
1. Namibia
2. South Africa
3. Rwanda
4. Cote d'Ivoire
5. Mauritius
6. Morocco
7. Kenya
8. Botswana
9. Cape Verde
10. Senegal
Kuwait in nchi dogo sana lakini ina mafuta kuliko nchi zote za SADC. Ukubwa siyo kigezo.Udogo wa eneo unaendana na uchache wa raslimali, na kinyume chake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Egypt ipo Africa.wale watu ni waafrica kweli?Sasa Rwanda si kama kisarawe kwa ukubwa? Kwann wasiwe na barabara nzuri? Egypt nao wana best roads.
Kwahiyo unawaambiaje wanaosema Rwanda inastahili kuwa na barabara nzuri kwa sababu ina eneo dogo?Kuwait in nchi dogo sana lakini ina mafuta kuliko nchi zote za SADC. Ukubwa siyo kigezo.
Nawaza tu Tz iko nafasi ya ngapi hapa:Hahahhaha, Hako ka nchi mnakaonea sana kwa nini, ni kado lakini hata GDP yake ndogo right? Iweje kaongoze kwa mambo kibao?
HAPO VIPI? View attachment 993381
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unawaambiaje wanaosema Rwanda inastahili kuwa na barabara nzuri kwa sababu ina eneo dogo?
Yani kenya amzidi Egypt?African Countries With The Best Roads
1. Namibia
2. South Africa
3. Rwanda
4. Cote d'Ivoire
5. Mauritius
6. Morocco
7. Kenya
8. Botswana
9. Cape Verde
10. Senegal