Top 10 African Countries With the Best Roads

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
African Countries With The Best Roads
1. Namibia
2. South Africa
3. Rwanda
4. Cote d'Ivoire
5. Mauritius
6. Morocco
7. Kenya
8. Botswana
9. Cape Verde
10. Senegal
 
Bongo land tupo wa ngap mkuu?

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
jamani.! jiwe letu kujenga kote huko? libongo sijui lishindanishwe na nini ndio lishinde, usikute kwenye list kama hii utalikuta limeshika mkia au la pili kutoja mwishoni!
 
African Countries With The Best Roads
1. Namibia
2. South Africa
3. Rwanda
4. Cote d'Ivoire
5. Mauritius
6. Morocco
7. Kenya
8. Botswana
9. Cape Verde
10. Senegal


Hizo za Kenya ni za kuanzia wapi mpaka wapi maana wakenya wanazisifia za Tanzania japokuwa zina matuta kila mita kadhaa
 
Reactions: rr4
South Africa hana mshindani hata baadhi ya Nchi za Ulaya hazijafikia kiwango chao ndio ufananishe na Nchi ambazo yeye ndio anazijengea bara bara...Swaziland, Namibia na Botswana wote wanajengewa na kampuni za kaburu kuanzia ushauri hadi ujenzi...N1,N2,N3...Durban road hizo kwa sehemu kubwa ni lane 4 kwenda na kurudi zinapokua nje ya mji ndio inakuja kupishana kama kawaida...kwenda kumpokea mgeni Oliver Tambo ni kazi kuliko maelezo kupotea ni kawaida kutokana na jinsi zilizovypunganishwa sehemu ya wageni wanaofika,wanaoondoka na hiyo hiyo inaelekea Borgsbug na hapo ipo lane Ndogo ndio inaelekea Kempton park aisee harafu unafanisha na vitu vya kijinga...
SA bara bara imebinafsishwa wameweka toll gate za kumwaga ili wakusanye mapato kwa ajili ya kukarabati kila wanapoona inatakiwa itengenezwe..kila muda bara bara zinafanyiwa matengezo kwa baadhi ya Nchi ni nzima kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…