Katika ukurasa wa 8 wa gazeti la |Mwananchi la leo tar 09/02/2012 kuna habari yenye kichwa cha habari CHADEMA: HATUIINGIZI NCCR BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI,kwa muibu wa taarifa hiyo aliyetoa taarifa hiyo ni Mhe Kabwe Zitto.
Licha ya habari hii kuwa against the spirit of reconciliation inayojengeka hivi sasa. Kwa hakika hiini habari ya kusikitisha kwa wnaharakati wa mabadiliko popote walipo ambao wanatambua kuwa ni mshkamano pekee ndio utakaoweza kufanikisha mabadiliko yanayohitajika.
Ninafahamu kuwa Mhe Zitto na Mhe Kafulila ni pete na kidole hivyo ni dhahiri kuwa Mhe Zitto lazima atakuwa na sentiments zake kuhusu uamuzi wa NCCR kumtimua Mhe Kafulila lakini kama kiongozi na role model kwa vijana Mhe Zitto alipaswa kuwa na uwezo wa kutawala hisia zake badala ya kuachia hisia zimtawale na kiasi cha kuanza kupandikiza mbegu mbaya za kuvunja mshikamano miongoni mwa wana mageuzi.
Naomba kuwasilisha!