tone moja tu la ziada laweza kukuumbua

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
641
umeenda club huko ume enjoy vakutosha na ukaamua kuchukua dem au msela wa kupunguza maukame ya miaka nenda rudi .........
mnacheza game ucku kucha na kulala fofofo zen mnapoamka asubui unaanza kujilaumu bada ya kukuta umelala na mtu ambaye hata ungekuta naye asubui au mchana huo angekuuliza tu umuelekeze njia mbalia na kukusalimia usingemjibu ila koz ya pombe jana umelala nae na kula tunda ucku kucha ..............ungekua ww ungefanyaje ungejiloweka na omo wiki nzima au ungekata baadhi ya sehemu zako na kuzitupa???????????? wakati we wawaza hayo mwenzio anakushukuru kwa bahati uliyompa ya kula tunda na weye ....ahhaaaaaa utasonyajeeeee
 
ah hapo inabidi nikaliane na ujinga wangu.....ila no more contact na huyo mtu
 
Haya mambo yapo sana. Ukiwa club almost kila mwanamke anaonekana mzuri. Cha muhimu ni kuangalia mashine yake! Je ilikuwa bomba? Anaweza akawa mzuri wa sura na umbo but mashine yake ikawa ovyo!
 
Inatokea sana wakubwa..Nadhani Ukiashagundua kama 'umetoka' na demu/msela ambaye sio..dawa ni KUACHA tu!..pombe sio dawa!!!
 
Haya mambo yapo sana. Ukiwa club almost kila mwanamke anaonekana mzuri. Cha muhimu ni kuangalia mashine yake! Je ilikuwa bomba? Anaweza akawa mzuri wa sura na umbo but mashine yake ikawa ovyo!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
pombe mbaya sana kadri masaa yanavosonga inaweza mbadilisha betina mpaka kuwa zena hahaaa nimekumbuka vijarida vya sani
 
Sio Sex tu, na kitu kinakatikia halafu kinakata kutoka hapo unaonaje?
 
Haya mambo yapo sana. Ukiwa club almost kila mwanamke anaonekana mzuri. Cha muhimu ni kuangalia mashine yake! Je ilikuwa bomba? Anaweza akawa mzuri wa sura na umbo but mashine yake ikawa ovyo!

we nae mkari..mashine yake unaoionaje? Au unapima oil?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…