Tone Kwa Tone imeishia wapi?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,977
Reaction score
14,537
Aibu utaona wewe baada ya kuonya juu ya Upigaji wa CHADEMA sasa ni uthibisho tosha tone kwa tone ilishatimia mda mrefu na viongozi hawataki tena kutoa feedback kwa wananchi kwani wanahisi watasanuka ili wasichangie zaidi.

Katika kipindi chote cha tone kwa tone hakuna kiongozi aliyejitokeza kushukuru wqnanchi viongozi walivyoonq pesa zimetimia wamepiga kimyaaa wanazitumbua tuu.

CHADEMA mmebaki na nafasi moja ya kukinusuru Chama chenu nayo ni Baraza kuu la chama litakalofanywa September ambalo kwa aina ya wajume linaenda kumfukuza John Heche kwani ndiye anayetajwa zaidi na wajumbe anatumia chama Kujinufaisha.
 
CHADEMA imeshakufa mkuu Sasa ni muda wa kuizungumzia CHAUMMA kama chama kikuu cha upinzani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…