Tomas ulimwengu apata timu ufaransa

Mndengereko One

JF-Expert Member
Apr 26, 2015
334
237
Thomas Ulimwengu amepata ofa ya kwenda kuchezea ligi ya ufaransa kwenye timu ya st Etienne inayoshika nafasi ya sita

Tumwombeeni afanikiwe.
 
Last edited by a moderator:
tomas ulimwengu amepata ofa ya kwenda kuchezea ligi ya ufaransa kwenye timu ya st Etienne inayoshika nafasi ya sita

tumwombeeni afanikiwe
tunamwombea afanikiwe, lakini akienda huyo ulaya, aache kuburuza mpira kwa muda mrefuuu yeye tu bila kutoa pasi kwa wenzake wafunge. asifikiri ulaya kuna zile lunya lunya lunyaaaaaaaaaaaaaaaaa goooo, kule akifanya hivyo atarudi kama mrisho ngasa. hii ndio tofauti yake na samata ambaye mpiga anaupiga vizuri na anajua kutoa pasi.
 
Hizo lunyaaaaaa ndo zimemfanya aonekane! Ni trademark yake kufungasha matela na kuvuta kijiji.
 
mpira wa aina hiyo miaka hii na kwa style za ulaya nakuhakikishia hatafika mbali. huo ni mpira wa kutumia nguvu, sio kutumia akili. namtakia yote mema kwa maslahi ya nchi yetu, lakini namsihi afungashe na kutoa pasi vilevile.
 
Hizo lunyaaaaaa ndo zimemfanya aonekane! Ni trademark yake kufungasha matela na kuvuta kijiji.
kama iniesta vile, anakusanza kijiji messi anakuwa peke yake, akitoa pasi moja tu ya mwisho messi anafanya manuva
 
tunamwombea afanikiwe, lakini akienda huyo ulaya, aache kuburuza mpira kwa muda mrefuuu yeye tu bila kutoa pasi kwa wenzake wafunge. asifikiri ulaya kuna zile lunya lunya lunyaaaaaaaaaaaaaaaaa goooo, kule akifanya hivyo atarudi kama mrisho ngasa. hii ndio tofauti yake na samata ambaye mpiga anaupiga vizuri na anajua kutoa pasi.
Mkuu ebu tuombe msamaha sisi ma-GT wa JF, yaani unamlinganisha uncle Ngasa na Ulimwengu kweli?

Omba radhi tafadhali
 
hahaha, ngasa, kwakweli ulimi umeteleza, naombeni msahama. hasa nilipoona ile movie yake na mdogo wa flora akilala style moja tu ili awaonyeshe watu kwamba anajua kufanya ngono, nilimwona kumbe ni mjinga angeenda ulaya angetuaibisha sana. ulimwengi ni bora zaidi, kwa nguvu za kutawala mpira, kwa urefu/kimbo nacho watu wa ulaya wanakizingatia sana, na heshima pia. atafika mbali, ila ili namba yake idumu huko ulaya, yampasa aongeze akili na sio nguvu.
 
Kwahiyo wewe unajua zaidi hata kuwashinda scouts wa St Etienne waliompendekeza kwa benchi la ufundi la timu hiyo?
tunamwombea afanikiwe, lakini akienda huyo ulaya, aache kuburuza mpira kwa muda mrefuuu yeye tu bila kutoa pasi kwa wenzake wafunge. asifikiri ulaya kuna zile lunya lunya lunyaaaaaaaaaaaaaaaaa goooo, kule akifanya hivyo atarudi kama mrisho ngasa. hii ndio tofauti yake na samata ambaye mpiga anaupiga vizuri na anajua kutoa pasi.
K
 
Back
Top Bottom