Hivi unazani kuna Taifainataka kuingia kwenye vita kubwa kama hizo? Hata USA hataka na hata Urusi. Make impact yake ni un calculated.Let's get prepared for worse!! Naona watu hii kitu wanachukulia masihara, but trust me, it's not.
Tukumbuke ingawaje both Russia na US wapo Syria lakini hawapo ndani ya direct confrontation.
US yupo kuwasaidia Waasi wanaotaka kumuondoa Asad madarakani na Russia yupo Syria kuhakikisha Waasi wanaotumiwa na US hawamuondoi Assad madarakani.
Hapo juu pia ni sababu kwanini Iran yupo Syria!
Lakini hili la sasa ni tofauti. Wakati hapo kabla ni Waasi ndio walikuwa wanafanya direct confrontation kwa Assad na hivyo ku-face direct confrontation from Russia; kinachoshadadiwa hivi sasa ni Assad ku-face confrontation directly from US.
Shambulio la moja kwa moja la US kwa Syria ina maana ni shambulio la moja kwa moja la US dhidi ya majeshi ya Russia ya Iran yaliyopo Syria!
Hadi hapo, kwa kuanzia tunapata equation:
US vs Syria + Russia.
Kwavile US hawezi kupata UN support kutokana na Veto ya Russia and of course, China; hakuna shaka kimbelembele namba moja kujiunga hapo atakuwa UK.
Kuingia kwa UK kutafuatiwa mapema sana na France. The equation becomes:
US + UK + France vs Syria + Russia.
Ikifika hapo; hapatakuwa
Between the two, mmoja wao ni insane! Hata hivyo, hakuna mwendawazimu wa kutumia nyuklia hata kama anazo!Hivi unazani kuna Taifainataka kuingia kwenye vita kubwa kama hizo? Hata USA hataka na hata Urusi. Make impact yake ni un calculated.
Hawajui what is next..zikianza Nucler war hapa hakuna cha Ulaya wala Africa wana Asai wala America.
Ogopa sana mgogoro unao husisha Nucler power.
Cruise missile yoyote siyo tu Tomahawk ni ngumu sana kuzicounter effectively hasa zikirushwa kwa wingi,Wataalamu wamasema ili kuwana uhakika wa ku shot dowan cruise missile at least unatakiwa kurusha SAM 2 ku counter 1 cruise missile.Sasa zikirushwa 59 kwa pamoja lazika air defense zitakuwa overwhelmed.Tomahawk cruise of missile may be US weapon of choice to strike syria military targets. The cruise missile which launched from the Navy destroyer ship is difficult to be track and neutralized by the air defense. Also the missile uses inferred sensors to jam air defense missiles. It can penetrates S 400 Air defense batteries and also they cannot be easily detected on the as they are flying in a low altitude.
Labda wamesubiri yale Mawigi yaliyoko whitehouse yape kipara kwanza, make sio kwa ngonjera hizoWashambulieni, mbona mna mbwelambwela Na ngonjera zisizo Na mashiko?
Fundi25, sio babu yao, ni Mawigi yao, nadikia vyoo vyote vya white house vimejaa kwa tumbo la kuhara la mzee Mawigi, kwa sasa anajisaidia kwa Ted Cruiz.Nimejuwa wamesha rusha kumbe unatuletea story za Babu yenu!
Hakuna wa kujiingiza kwenye mgogoro wa kupoteza maisha ya raia wake na wanajeshi kwa maslahi ya kishamba. Mind you ni kwamba, kama kutatokea Military fight kati ya USA na Russia, basi ujue hakuna atakaye ingia si Nato wala China, may be Indirect.Naona watu hii kitu wanaichukulia masihara, but trust me, it's not.
Tukumbuke ingawaje both Russia na US wapo Syria lakini hawapo ndani ya direct confrontation.
US yupo kuwasaidia Waasi wanaotaka kumuondoa Asad madarakani na Russia yupo Syria kuhakikisha Waasi wanaotumiwa na US hawamuondoi Assad madarakani.
Hapo juu pia ni sababu kwanini Iran yupo Syria!
Lakini hili la sasa ni tofauti. Wakati hapo kabla ni Waasi ndio walikuwa wanafanya direct confrontation kwa Assad na hivyo ku-face direct confrontation from Russia; kinachoshadadiwa hivi sasa ni Assad ku-face confrontation directly from US.
Shambulio la moja kwa moja la US kwa Syria ina maana ni shambulio la moja kwa moja la US dhidi ya majeshi ya Russia ya Iran yaliyopo Syria!
Hadi hapo, kwa kuanzia tunapata equation:
US vs Syria + Russia.
Kwavile US hawezi kupata UN support kutokana na Veto ya Russia and of course, China; hakuna shaka kimbelembele namba moja kujiunga hapo atakuwa UK.
Kuingia kwa UK kutafuatiwa mapema sana na France. The equation becomes:
US + UK + France vs Syria + Russia.
Ikifika hapo; hapatakuwa na namna bali Iran kulazimika kuendeleza alipoishia! The equation becomes:
US + UK + France vs Syria + Russia + Iran.
Kufikia hapo; kuna kimbelembele mwingine nae atataka aingie! Kimbelembele huyu mashabiki wake wanamuita "Taifa la Mungu" a.k.a Israel.
Hata hivyo, wenye shoo yao watamwambia "Dogo tulia"
Kwa upande mwingine; Russia atalazimika kusogeza majeshi yake jirani na lango la NATO. Kufikia hayo, bila shaka atatumia base zake zilizopo Belarus na kwa sasa uhusiano wa Russia na Belarus ni mzuri!
Ni muhimu sana kwa Russia kuwa Belarus kuzuia uwezekano wa NATO kuingia Russia.
That said, endapo Russia atafanikiwa kusogeza majeshi yake Belarus ina maana atakuwa jirani kabisa na Poland ambalo ni lango kuu la kuingilia NATO.
Aidha, Poland hajapata kumuamin Russia hata siku moja! In short, Russia ni Poland's greatest enemy.
To cut a long story short, hii tunayoishabikia ikitokea inaweza kusababisha mataifa mengi kuingia!
kwa hiyo source ataachiwa tu irushe mpaka yafike 59?Cruise missile yoyote siyo tu Tomahawk ni ngumu sana kuzicounter effectively hasa zikirushwa kwa wingi,Wataalamu wamasema ili kuwana uhakika wa ku shot dowan cruise missile at least unatakiwa kurusha SAM 2 ku counter 1 cruise missile.Sasa zikirushwa 59 kwa pamoja lazika air defense zitakuwa overwhelmed.
Inaelekea huwafahamu vizuri Uingereza and France! Tuombe pasiwe na direct confrontation kati ya Russia and US lakini kusema hakuna atayeingia; you're underestimating NATO na malengo ya kuanzishwa kwake!Hakuna wa kujiingiza kwenye mgogoro wa kupoteza maisha ya raia wake na wanajeshi kwa maslahi ya kishamba. Mind you ni kwamba, kama kutatokea Military fight kati ya USA na Russia, basi ujue hakuna atakaye ingia si Nato wala China, may be Indirect.
Mkuu Tomahawk kiboko yake S-400, na mrusi kesha mwambia Mmarekani, rusha hicho kishada cha Tomahawk na uone kama sijakichana pamoja na meli kilipotokea.Tomahawk cruise of missile may be US weapon of choice to strike syria military targets. The cruise missile which launched from the Navy destroyer ship is difficult to be track and neutralized by the air defense. Also the missile uses inferred sensors to jam air defense missiles. It can penetrates S 400 Air defense batteries and also they cannot be easily detected on the as they are flying in a low altitude.
It depends,maana siku zote source ziko protected sana.kwa hiyo source ataachiwa tu irushe mpaka yafike 59?
Tomahawk cruise of missile may be US weapon of choice to strike syria military targets. The cruise missile which launched from the Navy destroyer ship is difficult to be track and neutralized by the air defense. Also the missile uses inferred sensors to jam air defense missiles. It can penetrates S 400 Air defense batteries and also they cannot be easily detected on the as they are flying in a low altitude.
strategically, russia ikipigana us na nato atakaye imarika ni mchina na ndio mwanzo wa china kua super powerInaelekea huwafahamu vizuri Uingereza and France! Tuombe pasiwe na direct confrontation kati ya Russia and US lakini kusema hakuna atayeingia; you're underestimating NATO na malengo ya kuanzishwa kwake!
China; cjawataja na wala sikuwa na mpango wa kuwataja! US is more of economic enemy to China than military enemy.
China sio rafiki wa Russia though wana-share na marafiki!
That said, China anaweza kuingia only if maslahi yake yanatishiwa!