Huyo mwamba alikua ni moja wa socialist mzuri sana wa kiafrika, kwa wale wasiojua hata serikali ya mwanzo ya KE ilikua imepitisha policy directive ya African socialism. Ingawaje wao walisema hawatafanya nationalisation unless it is absolutely necesary.
Mambo yalipoanza kunoga madarakani watu wakaanza kuona sera za kishoshalist zitawatia umaskini bure, solution ilikuwa ni kum-eliminate mtu amabaye ndie alikua akitetea hio policy ndani ya serikali ya KE. Baada ya kuuliwa TM hiyo policy haijawahi tena kusikika ktk public as if it has never existed...