misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
- Thread starter
-
- #61
Hiyo bikra kweli unayo au ndo kuuza sura tu jukwaani hapa?
Una uhakika ipo na nani alikupima na akaiona?
ndio zenu bana, afadhali angeichakachua mapema kama mie asingekuwa na pbna shel tym hii!Njema mama kwema lakini?
Huyo anatangaza nia ya kuoa hapo anataka amege alafu aaangalie je kitu used au new
hata sijui kama siku hizi watoto wanazaliwa nazo tena! dah!Hata huyo mmoja ukimpata labda kazaliwa leo hajatimiza mwezi
hata sijui kama siku hizi watoto wanazaliwa nazo tena! dah!
hata sijui kama siku hizi watoto wanazaliwa nazo tena! dah!
mmmmh mweeeeeeee. Kumbe bado zipo tu, mi niliwahi kusikia kuwa zilishaisha..duh...
kuna jamaa mmoja nmekuwa nae kwa muda mrefu, ingawa ni kind of long distance relationship ivi. amekuwa akitaka tudo mara kwa mara ila nmemkatalia. cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still a virgin na ndo mana ni mwoga. basi toka cku iyo cmwelew mana cku iliyofuata tuu aliniletea engagement ring "nliikubali mana i waz on shock", ananipigia cm mara kwa mara ckuizi more than b4 n he real spy on me kumake sure ctembei na m2. sasa swali linakuja "JE ANANIPENDA KWELI AU NDO ANATAKA ANICHAKACHUE?"
LD; kumbe bora kuchuna eeeh? usiseme kitu?
LD; kumbe bora kuchuna eeeh? usiseme kitu?
:noidea:hahahaaa zinapotelea wapi lady?
ni nadra sana kusikia men wakisifia wamekuta demu yuko sealed! hata hivi vya 14 na kuendelea hamna kitu!! vishachakachuliwaLady N umenichekesha wewe mpaka nimezimia ha ha hah uwiiii mbavu zangu mie mwenzenu aahhhh
hata humu jamvini kuna mens ambao washagonga wanawake kibao lkn hawajabahatika kukutana na hiyo kitu