Toka nimekuja Moshi ni mbege tu na supu chai nimesahau kabisa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Kuanzia Same,Mwanga,Rombo,Moshi yote, hadi Siha mpaka Meru kumekucha

Kwakweli najivunia kuwa mchaga

Nganria wari innu mpaka

Ngikelya nyama sa mburu,mpaka kieleweke

Yaani moshi komkya wandu wakwa!!

Yaani toka nimekuja moshi nishasahau Chai, ni mbege tu,bia na masupu mpaka kuchee yaani

Mimi ni mchaga Og najivunia kwakweli, tule tulewe hadi mwaka mpya uingie nishakua kafiri haswa...

Jamani mila ni nzuri sana niache mbege nina kichaa?

Nina kisusio nina kichaa?

Niache kula supu, nyama nina kichaa

Wachaka wensake lufure na ishukuru mndumi iruva kwaluninga muu/uhai mpaka yenu sikukuu yalukoya ndao

Aika/Eka mndumi iruva kwa sikukuu...

Jamani tusiache mila tudumishe mila
 
Sawa Ila Unapoteza Muda Wasiliana Na Professor Janabi
Ana stress huyo Dr. Wenu. Wacha tupife Supu na minyama tu. Kwani usipokula nduo hufi? Anataka turudi kwa Sir God Maini, Figo na Moyo ukowa mzima.kwa ajili ya nini? Mi sinywi Mbege ila nakula Supu, Mtori,kisusio, manyama na kididia hapa Kyeeri Machame. Wacha tufe tu ila lazima tule.
 
Kuanzia Same,Mwanga,Rombo,Moshi yote, hadi Siha mpaka Meru kumekucha

Kwakweli najivunia kuwa mchaga

Nganria wari innu mpaka

Ngikelya nyama sa mburu,mpaka kieleweke

Yaani moshi komkya wandu wakwa!!

Yaani toka nimekuja moshi nishasahau Chai, ni mbege tu,bia na masupu mpaka kuchee yaani

Mimi ni mchaga Og najivunia kwakweli, tule tulewe hadi mwaka mpya uingie nishakua kafiri haswa...

Jamani mila ni nzuri sana niache mbege nina kichaa?

Nina kisusio nina kichaa?

Niache kula supu, nyama nina kichaa

Wachaka wensake lufure na ishukuru mndumi iruva kwaluninga muu/uhai mpaka yenu sikukuu yalukoya ndao

Aika/Eka mndumi iruva kwa sikukuu...

Jamani tusiache mila tudumishe mila
Ushalewa mnama,

Anyway karibu Marangu hapa tumechinja kanguruwe kadogo kalaini laini ka kushushia na konyagi
 
Kuanzia Same,Mwanga,Rombo,Moshi yote, hadi Siha mpaka Meru kumekucha

Kwakweli najivunia kuwa mchaga

Nganria wari innu mpaka

Ngikelya nyama sa mburu,mpaka kieleweke

Yaani moshi komkya wandu wakwa!!

Yaani toka nimekuja moshi nishasahau Chai, ni mbege tu,bia na masupu mpaka kuchee yaani

Mimi ni mchaga Og najivunia kwakweli, tule tulewe hadi mwaka mpya uingie nishakua kafiri haswa...

Jamani mila ni nzuri sana niache mbege nina kichaa?

Nina kisusio nina kichaa?

Niache kula supu, nyama nina kichaa

Wachaka wensake lufure na ishukuru mndumi iruva kwaluninga muu/uhai mpaka yenu sikukuu yalukoya ndao

Aika/Eka mndumi iruva kwa sikukuu...

Jamani tusiache mila tudumishe mila
Naona ustaadh umeamua kupaisha penalty
 
Kumbe Ostadh unakunywa ulabu?
 
MWANAPROPAGANDA MUQAWAMMA WA SHIA KWA AFRIKA MASHARIKI.
 
Back
Top Bottom