Toka mtandoani : umri wa Michael Jackson

Hizo komenti sasa utafikiri alisema anataka kuishi miaka yote
 
Hivi Nini kilimuua !??
Na hayo Mambo watu waliyajuaje km kweli alitaka iwe hivyo?
Nilisikia tetesi Daktari wake alivyokua akihojiwa alikiri kua alimuua MJ baada ya kuona kafikia hatua mbaya ambayo ilikua kero kubwa maana alikua anatokwa na mkojo bila kubanwa na haja kwaiyo daktari wake akawa anakazi ya kumsafisha na kumfungia mipira kila muda
 
Kumbe Ni fununu!?
 
Alikuwa na tatizo gani lililopelekea kutokwa na mkojo?
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mmh[emoji849]
 
Tumelipokea neno lako mtumishi
Well said!
Mungu ni yote juu ya yote
Kiburi cha mwanadamu kinazimika siku ile aliyoipanga Bwana
Laiti tungelijua yatupasayo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…