toka 2010 hadi leo bado hakubali

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
huyu ni Hawa mwenye sifaa zote nimejitahidi samwaka jana alikubali,chakushangaza baadae aliingia mitini

Majuzi kaja tena kwa kasi mie nshaondoa fikra ila anaomba sana nimwelewe

Hawa huyu sijui alikua anasumbuliwa na woga au double standards..kwa kweli sielewe kwani hata hivyo alikua mbali sana nami

Je focus yake kweli inaweza kuwa na dhamira ya dhati


Akina hawa tupeane ushauri pia


Wenu Adam,
 
pole ukiona ivo ujue washamtenda huko anakuja kujistiri kwako huyo hawa amini nakuambia hana lolote kwanini aliingia mitini stukachkua hatua Je mko wangapi?...
 
alikubali/hakubali nini?

funguza zaidi mm sijakuelewa...umeandika kama shairi.
 
alikokuwa kalamba garasa ndo akagundua wee mzungu wa nne.

Afu ujue mie ni Joker?
 
Kama unampenda...msamehe.yaliyopita si ndwele ganga yajayo. Cha msingi fanya uchunguzi kama na yeye anakupenda.epuka kuenenda kwa hisia.
 
Achana nae huyo alikueka kiporo sasa huko mambo si mambo amerudi
 
unajua kilichomkuta Adam? ...kama jibu lako ni ndio basi hakikisha Hawa hakai karibu yako kabisa utajutaje!!!
 
Hapo hakuna dhamira ana taka kutuliza maumivu yake kwako!
 

Yaonesha una uzoefu na Maharage ya China!
Hapo utambue na Maharage ya Kijerumani nayo yapo !
 
huyo anaye kuumiza kichwa, wenzako wamembwaga chini na uzuri wake. mia
 
Arabela u r rite hii stori inafanana na ishu moja ivi ishawahi kunitokea lol

kuna watu kaizer hawawezi kukaa bila kuwa na mtu. Anawaeka wengine foleni akiharibu huko atafuta wakureplace. Dah pole ndugu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…