hiv jaman choo cha kukaa unakunyaje..?..pia unachambaje...kama sio kuondoka na mavi..matakoni....mtu toka utotoni tumezoeshwa kutengwa kwenye miguu...then vyoo vua mafiga..alafu leo hii choo cha kukaa....yaaa lazima uondoke na kinyesi maana ukitaka kuchamba ..unakaaje hapo kama si kuchafua choo tu...