Wana JF nilikua nauliza ni hospital gan hapa dar ni nzuri kutahiri mtoto wa kiume na cost zake zikoje, na je kutahiri mtoto akiwa mdogo huleta madhara yoyote kiafya?