muhamar Gadaf JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 1,098 Reaction score 1,056 May 12, 2019 #1 niulize mimi chochote kuhusu tohara ya mwanaume. nitajibu maswali yenu zamu kwa zamu
luambo makiadi JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 10,709 Reaction score 8,927 May 12, 2019 #2 Kwanini wakinga wengi hawatahiriwi?
C ChimeraX JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,318 Reaction score 2,928 May 12, 2019 #3 ni kweli govi halina faida ndio maana hukatwa?
muhamar Gadaf JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 1,098 Reaction score 1,056 May 12, 2019 Thread starter #4 luambo makiadi said: Kwanini wakinga wengi hawatahiriwi? Click to expand... ni mila na desturi zao. ila jitihada ya kuwashauri na kuwapa faida za tohara zinaendelea utagundua sehemu ambayo kuna idadi kubwa ya watu wasio fanyiwa tohara, maambukizi ya HIV yako juu. tafiti zinasema tohara ya mwanaume husaidia kuzuia maambukizi ya HIV kwa asilimia 60 % wakati wa kujamiana.
luambo makiadi said: Kwanini wakinga wengi hawatahiriwi? Click to expand... ni mila na desturi zao. ila jitihada ya kuwashauri na kuwapa faida za tohara zinaendelea utagundua sehemu ambayo kuna idadi kubwa ya watu wasio fanyiwa tohara, maambukizi ya HIV yako juu. tafiti zinasema tohara ya mwanaume husaidia kuzuia maambukizi ya HIV kwa asilimia 60 % wakati wa kujamiana.
exalioth JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 2,395 Reaction score 4,152 May 12, 2019 #5 Wanatumia mikasi ileile je hakuwezi kua na maambukizi yaambukizwayo kwa jia ya damu?
muhamar Gadaf JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 1,098 Reaction score 1,056 May 12, 2019 Thread starter #6 XaviMessIniesta said: ni kweli govi halina faida ndio maana hukatwa? Click to expand... ki biologia ( sayansi ) humuweka mtu kwenye hatari ya kupata magonjwa ya mkojo. kansa ya uume maambukizi ya HIV maambukizi ya magonjwa ya zinaa
XaviMessIniesta said: ni kweli govi halina faida ndio maana hukatwa? Click to expand... ki biologia ( sayansi ) humuweka mtu kwenye hatari ya kupata magonjwa ya mkojo. kansa ya uume maambukizi ya HIV maambukizi ya magonjwa ya zinaa
muhamar Gadaf JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 1,098 Reaction score 1,056 May 12, 2019 Thread starter #7 exalioth said: Wanatumia mikasi ileile je hakuwezi kua na maambukizi yaambukizwayo kwa jia ya damu? Click to expand... mkuu hii ni tohara ya kitaalam, set moja mpya kabisa kwa mtu mmoja. hakuna kuchangia vifaa.
exalioth said: Wanatumia mikasi ileile je hakuwezi kua na maambukizi yaambukizwayo kwa jia ya damu? Click to expand... mkuu hii ni tohara ya kitaalam, set moja mpya kabisa kwa mtu mmoja. hakuna kuchangia vifaa.