Tohara na fangasi

High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,915
2,131
Kuna jamaaa yangu jana kanipigia simu na kuniambia kuwa ana fangasi zinamsumbua na nnavyojua kuwa hajafanyiwa tohara nilamwambia kuwa kafanye tohara.

Je anaweza fanya tohara huku ana fangasi au apone kwanza fangasi ndio afanyiwe au anaweza fanya tu ?
 
Aende hospitali tu madaktari wanajua cha kufanya

Govi liko kwenye mazingira ya uchafu hivyo mkikaa msubirie apone fangasi inaweza kuchukua muda mrefu

Aende hospitali watamshauri accordingly
 
Back
Top Bottom