Kugundua udanganyifu ni rahisi sana ikiwa mdanganywaji mtarajiwa atakuwa mtulivu, ipo hivi......
1. Mdanganyaji huja na sifa ya kujibandika madarakani ama uwezo asiokuwa nao, sasa unaweza kumkamata hapo hapo kwenye kujimwagia misifa ya mchongo kwamba ni Mdanganyaji mwenye lengo la kutimiza tamaa zake kisha apotelee gizani.
2. Mwenye upendo wa kweli huwa mtulivu na mvumilivu, hapendi kujisifu wala kusifiwa hata kama utamdharau na kumuona kapuku huwa mtulivu akitafuta kujua kama unafaa kwake ama haufai.
Hizo tofauti 2 zinaweza kukupa ufahamu wa yupi ni Mdanganyaji na yupi mwenye upendo.