Sasa dada mbona umemaliza kila kitu, umetiririsha kwa mtiririko mtamu nlkuwa nataka nisome tu.
Huo ndio ukweli wish ningekuwa mwanasaikolojia ningejua jinsi ya kuiweka hyo ili nisikimbilie tu kusema "nature"
Hizo kweli ni tofauti, na 95% ya wanaume tupo hvyo!
...................
Hapo kwenye red REALLY???majority kasema nani?
nani alikusanya data akasema wanaume wanaotembea na wake za watu
wanawashusha thamani hao wanawake?
hizo ni assumptions tu tena za kitanzania zaidi.....
wanawake wengi walioolewa mara ya pili au tatu..walianza affair kabla hawajaachana na waume zao wa mwanzo...
na mwisho waliolewa na wanaume ambao mwanzo walikuwa wanaume wa nje.......msi generalize kihivyooo
hujani offend aisee
but nimeanza kuona 'kitu kikiwa popular opinion jf'
hata kama sio sahihi tunaanza kufikiri 'ndo ilivyo'
kuhusu wanawake wanaoolewa 'mara ya pili na tatu baada ya affair
naomba uanze 'kuchunguza leo na kuuliza uliza'
ntakupa mfano mmoja maarufu mno...
Anna Abdallah ambaye alikuwa mwanamke powerfull na siasa za Tanzania...
naomba uulize historia ya love life yake
majority kasema nani?
nani alikusanya data akasema wanaume wanaotembea na wake za watu
wanawashusha thamani hao wanawake?
hizo ni assumptions tu tena za kitanzania zaidi.....
wanawake wengi walioolewa mara ya pili au tatu..walianza affair kabla hawajaachana na waume zao wa mwanzo...
na mwisho waliolewa na wanaume ambao mwanzo walikuwa wanaume wa nje.......msi generalize kihivyooo
.......kati ya wanaume na wanawake linapokuja swala la kutoka kwenye mahusiano na kuingilia mapenzi ya wengine.
Haya mawazo nimeyapata baada ya majadiliano yaliyokuwepo kwenye mada ya NK https://www.jamiiforums.com/mahusia...t-help-you-guys-to-rescue-your-marriages.html ...
...Wanawake wakicheat lazima wawe na visingizio vinavyowahusu wenzi wao....ananinyanyasa..mapenzi hamna..hanijali..haniridhishi n.k
Ngumu sana kwa wao kukubali kwamba wamekosea bila kumtumia lawama mwanaume.
...Wanaume wanasingizia nature pia wanakubali kwamba ni matokeo ya tamaa zao (kula mboga moja kila siku kunakinahisha)...japo wapo wenye visingizio kama vya wanawake sio asilimia kubwa kama wanawake.
...Mwanamke anaetoka na mume wa mtu anaona sifa na kudhani kwamba amemuweza mwenye mume.
...Mwanaume anaetoka na mke wa mwenzake anamuonea huruma mwanaume mwenzake nakumshusha hadhi huyo mke.
...Mwanamke anaona sifa mwanaume akimuacha mkewe na kukimbilia kwake na ni rahisi kukubali ndoa nae kuonyesha kwamba yeye ni zaidi ya aliyeachwa.
...Mwanaume anaona mwanamke anaekubali kumuacha mumewe kwaajili yake hafai na ni wachache wenye ujasiri wa kuendeleza nao mahusiano achilia mbali kutaka ndoa.
...Mwanamke akibambwa analia na kujifanya yeye ndio victim.
...Mwanaume anakataa kwamba sio kweli....kama kuna ushahidi wa kutosha anamsingizia shetani kisha anaomba samahani.
..................what else???
Na hapana simaanishi wote ila majority....
99% truth...half truth!
99% truth...
halafu wewewell....kila mtu anaamini anachoamini
halafu wewe