Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Sep 26, 2012 #1 View attachment uvaaji.docx Umeona eeh... Mwanaume unapiga kiatu hio hio karibia mwaka mzima...
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,987 Sep 26, 2012 #2 utafiti wako ,feki mdada ulifanyika nchi gani?
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,771 Sep 26, 2012 #3 wewe hujawahi kuona dume linakwenda kuoga then linarudia chupi chafu yani huwa nakereka kweli naunakuta inaonekan ajuu ya bukta yani ni chafu,wengi wa wqanaume ni wachafu sana
wewe hujawahi kuona dume linakwenda kuoga then linarudia chupi chafu yani huwa nakereka kweli naunakuta inaonekan ajuu ya bukta yani ni chafu,wengi wa wqanaume ni wachafu sana