KunjyGroup
JF-Expert Member
- Dec 7, 2009
- 352
- 26
Hadi leo, serikali ya Zambia imehamasisha mabenki yamepunguza cost of borrowing (kiwango cha kukopa) kama ifuatavyo:
Hii inatikana na ahadi ya rais Sata more money in your pockets. Sindhan kama hili linaitaji maelezo zaidi.
- Cavmont Bank from 20 to 16%
- Invest Trust and ZANACO banks from 19 to 15%
- Standard Chartered and Finance Bank from 19.5 to 15.5%
Serikali ya SAta iko mbioni kuakikisha katiba mpya inatungwa tofauti na Tanzania ambako chama tawala kinapiga danadana swala la kariba.
Haya ni machache nilitaka ndugu zangu wa JF muyapate .
\Hadi leo, serikali ya Zambia imehamasisha mabenki yamepunguza cost of borrowing (kiwango cha kukopa) kama ifuatavyo:
Hii inatikana na ahadi ya rais Sata "more money in your pockets." Sindhan kama hili linaitaji maelezo zaidi.
- Cavmont Bank from 20 to 16%
- Invest Trust and ZANACO banks from 19 to 15%
- Standard Chartered and Finance Bank from 19.5 to 15.5%
Serikali ya SAta iko mbioni kuakikisha katiba mpya inatungwa tofauti na Tanzania ambako chama tawala kinapiga danadana swala la kariba.
Haya ni machache nilitaka ndugu zangu wa JF muyapate….
Nadhani kama kuna jambo la kusifia au kujifunza basi tujifunze toka huko hata kama kuna tofauti kubwa kati yetu au kuwazidi katika mambo mengi,kwa namna alivyosema ni namna ya uwajibikaji na kutimiza ahadi kwa viongozi wetu mara baada ya kuchaguliwa,tukumbuke kuwa kuna nchi nyingi ambazo tulikuwa tumezipita na wanajaribu kufanya jitihada za kuendelea wakati sisi tunabaki kujivunia na takwimu.\
Pata data hizi alafu ukae kimya. Inaonekana wewe unajua tu kuingia JF zaidi ya hapo kichwazi kweupe.
Idadi ya watanzania tuko zaidi ya mil.41 wakati Zambia wako mil. 12 tu;
Fedha ya Tanzania ina thamani zaidi ya ile ya Zambia kwa 1.3%;
Wastani wa umri wa kuishi wa mtanzania ni miaka 53 wakati Mzambia ni miaka 52;
Tatizo la ajira Zambia ni 14% zaidi ya Tanzania , which means Zambia tatizo ni kubwa sana;
Vifo kwa Zambia 0.6% zaidi ya Tanzania ,pamoja na kwamba ni wachache kuliko Tanzania lakini wanakufa kuliko wa-Tz na mengine mengi nitafue nikupe data zaidi, tusiwe tunatafuta tu sifa humu JF kumbe vichwa vyetu vimelaa.
\

Tatizo lako ni kwamba unakuja humu ukiwa na interest zako ,sasa ukipewa data unabaki kuruka ruka kama kitenesi, haya sasa unaelewa madhara hayo mabadiliko anayoyafanya? Huwezi kufanya mambo as if wewe ni developed country,subiri sasa uone baada ya miaka mitano kama wazambia hawajamtimua kwa mapanga.Kitu nilichogundua ni kwamba wewe, thatha ni vilaza sana mnaokurupuka kurukia mada bila kuielewa. Inaonekana ni wagumu sana kuelewa na ni wepesi sana kusahau. Tunakubali kuwa Zambia tumeizini kwa mambo mengi, but tunapngeza hatua inayochukuliwa na kuongozi mpya ulochukua mdaraka hivi punde ktk kuboresha uchumi wa Zambia na kuboresha hali ya maisha ya wazambi.
Tunapaswa kujifunza na kupongeza jitihada na uzalendo unaoonyeshwa na viongozi hawa, tuache ubishi.
\
Pata data hizi alafu ukae kimya. Inaonekana wewe unajua tu kuingia JF zaidi ya hapo kichwazi kweupe.
Idadi ya watanzania tuko zaidi ya mil.41 wakati Zambia wako mil. 12 tu;
Fedha ya Tanzania ina thamani zaidi ya ile ya Zambia kwa 1.3%;
Wastani wa umri wa kuishi wa mtanzania ni miaka 53 wakati Mzambia ni miaka 52;
Tatizo la ajira Zambia ni 14% zaidi ya Tanzania , which means Zambia tatizo ni kubwa sana;
Vifo kwa Zambia 0.6% zaidi ya Tanzania ,pamoja na kwamba ni wachache kuliko Tanzania lakini wanakufa kuliko wa-Tz na mengine mengi nitafue nikupe data zaidi, tusiwe tunatafuta tu sifa humu JF kumbe vichwa vyetu vimelaa.[/QUOTE]
Sijui kama huyu akiili yake timamu au la. Sijaongelea maisha we pimbi. Soma uelewe. Naweza ku guess kwamba wewe ni shabiki wa sisiem. Wengi wenu walopokaji. Hamjui kujenga hoja yenye mashiko.