tofauti ya mwanaume na mvulana.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ngoja niwaite majirani tuje kusaidiana kusoma comments pembeni nashushia na nyagi
 
Naskia eti..... Wa Dar amekimbilia kwa Madiba.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
hiyo ni tofauti kati ya wanaume wa dar na wale wa mikoani mkuu
 
Wanaume wa Dar mnaaibisha sana. Alafu ile sura sasa wakati analia. Hebu iwekeni hiyo picha tuione tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…