mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
CHADEMA kwenda CCM
Anatukana na kuwasema vibaya viongozi wake, atatoa siri zozote anazozijua na uozo wowote ulio mbele ya macho yake dhidi ya chama anachotoka...
Kwangu mimi huu ni udhaifu maana ujasiri ni kusema hayo ukiwa hukohuko....
CCM kwenda CHADEMA
Hawa huwa waangalifu sana, wataisema ccm kama chama lkn huwezi kupata hata moja la kuitikisa ccm, viongozi wake, siri za ccm, madhaifu yao huwezi kuyasikia....
Mfano angalia siku Shibuda, lowasa, sumaye, makongoro etc wanahama...
Kwangu mimi hii ni ishara ya ukomavu kisiasa.