tofauti ya miaka ya kusoma sheria katika vyuo

bonem

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
270
225
wanajukwaa naomba kusaidiwa. kwa nini baadhi ya vyuo vikuu Bachelor of laws ni miaka mitatu kama vile ushirika moshi, na vingine ni miaka minne kama UDSM na SAUT. Naomba kueleweshwa inakuwaje tafadhali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom