Tofauti ya miaka 18 inafaa kuoana?

Mkuu hapo tafuta mwanamke Wa 30 plus ,ila hapo 22 yrs itakuwa sinema nyingi.
 
Habari,

Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
Huyo 22 bado atakuwa na mambo ya kitoto hivyo atakusumbua sana believe me. Tafuta 28+
 
Habari,

Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
Oa tu mkuu kama mnapendana kweli, tofauti hata ikiwa ni ya mwaka mmoja kama hakuna mapenzi ya dhati baadae itakuwa kero tu
 
Ulivyotest kuingiza uliona Vipi?
 
Huezi jua labda katalikiana na wake zake wengine au mkewe katangulia mbele ya haki so anafanya replacement ya kitumbua
Ndio utofauti wa miaka 18 jmn.... Au ndo age is just a numbers?
 
Wewe ni mzee mwenzetu sio kijana...oa tuu huyo binti..
 
Si umesema wewe ni kijana? Basi oa tu huyo ni kijana mwenzio.
 
Oa tu mtoto wako Huyo

Akileta ujinga unamkanya kama baba yake!
 
Habari,

Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
Kwani ww mfanyakazi wa Rubuva? Mpaka uanze kuulizia umri wa mwenza?
 
Habari,

Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
DAA! ukiwa na50 yeye atakuwa na miaka 38.ina madhara baadae utashindwa ku-match naye.ingawa mwanzoni utaona ni kawaida tu.
itajionesha tu baadae wewe unaangalia ufugaji wa kisasa kwenye T.V yeye anataka kuangalia movie. SIJUI ,Wengine watasema!!!
 
Kama unampenda oa tuu baba.Umri sio kigezo ila jitahidi kumjenga huyo mchumba awe na msimamo.Yaani mtu asiyebadilika vinginevyo utaibiwa na kuleta tena story hapa Jf
 
Hahahaha best hapo umegedaaa. Unajitafutia bp wakati umri wenyewe ushakutupa mkono. Na ulikuwa wapi siku zote? Huyo si mwanao kabisa....watu wengine bana
 
22 anafaa nimgegede tu maana mi hata sijafika 30 na si chini ya 27
 
Unamaanisha kijana le mutuz akipata ka binti ka 20's atabehave?
 
Oa tu mkuu,bt hata ikitokea watoto wako miaka ijayo wakakuita babu chukulia kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…