marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Angalia masikio yao, ukubwa wake then angalia na hizi picha hapa chini
Nauliza sababu ni genetics? Na je kuna tofauti yeyote katika hearing ability??
Nawasilisha!
Hala hala maskhara Na ukweliUkiwaangalia vizuri wazungu utagundua kuwa pua zao, masikio yao, macho yao ni makubwa ili waweze kuona, kusikia na kunusa vizuri, ndiyo maana wengi wao wametuzidi sana akili
Ha ha haaaaaaa mkuu nimecheka sana lolUkiwaangalia vizuri wazungu utagundua kuwa pua zao, masikio yao, macho yao ni makubwa ili waweze kuona, kusikia na kunusa vizuri, ndiyo maana wengi wao wametuzidi sana akili
True, lakini mbona wachina ni tofauti? Kweli wazungu wengi wana pua, macho maskio makubwaUkiwaangalia vizuri wazungu utagundua kuwa pua zao, masikio yao, macho yao ni makubwa ili waweze kuona, kusikia na kunusa vizuri, ndiyo maana wengi wao wametuzidi sana akili