Tofauti ya maono na ndoto

Tofauti ya maono na ndoto

lelulelu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
444
Reaction score
406
Wadau habari za muda poleni na majukumu,

kuna jambo linatatiza sana wakuu naomba kujua tofauti ya MAONI na NDOTO.kuna kipindi pale star tv jamaa mmoja aliitwa alete tofauti basi akawa anasema tuu tofauti sio kubwaaa bila kufafanua yani dah.

Naomba kujua tofauti ya maneno haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lelulelu, Ndoto ni jambo ambalo umeweka azma uwe nalo au uje kuwa hivyo hapo baadae kwa ujumla mfano mtu akisema nataka kuwa daktari hapo baadae hii ni ndoto,au akisema anataka kuwa raisi hapo baadae hii ni ndoto ile ukasema nataka kuwa fulani au nataka nimiliki kitu fulani.

Ndoto sio ile ambayo unaiyona pale unapokuwa umelala,ndoto ni ile ambayo itakufanya wewe uache kulala.

Alafu maono sasa ni ile hali ya kujiona upo katika ndoto yako.mfano unataka kuwa daktari ndoto alafu ile kujiona kabisa una ile miwani umeavaa na lile koti lako na pembeni na documents hapo na pale juu unaona una kabati la dawa alafu ukitazama chini unaona wagonjwa wako foleni yani unajiona kabisa upo muhimbili unafanya shughuli za udaktari hayo ndo maono.

Au unataka kuwa mcheza x maarufu basi maono ni pale unajiona unacheza ile movie kabisa na na kufanya harakati zote za kazi hiyo hayo ndo msono na yana nguvu kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lelulelu, Ndoto ni mkusanyiko wa mambo yaliyopita yaaani vitu kama ulifanya nyuma au vitu ulishawahi kuviona au kuvihofia so ukilala ubongo unavipanga upya ndo unakuta unaota na kuweweseka mfano ukiangalia movies za kutisha au kuna mtu unamhisi kitu Fulani unaweza

kuota kuhusu yeye lakini maono ni vitu ambavyo hujawahi kuwa na mahusiano navyo katika maisha lakini ukilala kuna sauti na matukio yanakujia ambayo ukiamka yanakuja kutokea kweli maishani mwako na unabaki unajiuliza mbona ili tukio mbona kama linajirudia yaani maono yanaendana na utabiri mambo yajao na ndoto mambo yaliyopita au unayo yahusisha na historia yako ya nyuma

Ndoto no ujumbe ambao mtu anapewa akiwa amelala hajasinzia hii huwa inatoka kwa Mungu au shetani.

Maono ni lile jambo au ujumbe ambao mtu anapewa akiwa hajasinzia kutoka kwa Mungu au shetani .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto ... Huotwa na lazima Uwe umelala usingizi ndio uote ndoto.

Maono.. Hupewa MTU akiwa macho kabisa hajalala, yaan anajikuta Fikra zimeenda mbali ,hata kama utamgusa ye atakua hastuki kwa mguso huo, macho hutizama sehem moja bila hata kope kupepesa.
 
Mbonamnanichanganya nimwamini yupi kati yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom