Tofauti ya kuangalia bunge na mechi za ligi kuu England

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,508
37,403
Sikuona tofauti ya lile bunge na kipindi naangalia mechi ya manchester na arsenal unaishia kumlalamikia Arsen wenger ,kuingia uwanjani huwezi kufanya sub huwezi kelele zako wala hazisikii na wala hakujui na humfanyi kitu,tubadilike badala ya kuangalia wanasiasa wetu kama wachezaji mpira na sisi tuwe marefa mtu akizingua apewe red card
 
Back
Top Bottom