H hafidh Member Joined Oct 3, 2011 Posts 62 Reaction score 47 Jan 11, 2018 #1 Jee kuna tofauti gani kati ya iphone 8 na 8 plus.yaani kuna vitu ambavyo waweza pata kwa 8 plus na 8 ikawa havipatikani.na mwisho kimatumizi ipi ni nzuri kati ya 8 na 8 plus.nawasilisha
Jee kuna tofauti gani kati ya iphone 8 na 8 plus.yaani kuna vitu ambavyo waweza pata kwa 8 plus na 8 ikawa havipatikani.na mwisho kimatumizi ipi ni nzuri kati ya 8 na 8 plus.nawasilisha
Njou JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 753 Reaction score 343 Jan 11, 2018 #2 Nadhani ni utofauti wa GB tu