Tofauti ya CHADEMA na Magufuli katika siku 100

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Katika siku 100 tumeona Magufuli akionyesha yale aliyoyafanya wakati CHADEMA pamoja na kuongoza halmashauri nyingi walichofanya katika siku 100 ni kuuza sura kwenye magazeti na TV.
 
Usifananishe chadema na ziara za mawazir wako za kusimamisha watu kazi na si utendaji mawazir wanasimamisha adi maofisa Wa chini maofisini ziara za mawazir asilimia 70 ni kufukuza watu hii sio Tanzania tunayoitaka
 
Katika siku 100 tumeona Magufuli akionyesha yale aliyoyafanya wakati CHADEMA pamoja na kuongoza halmashauri nyingi walichofanya katika siku 100 ni kuuza sura kwenye magazeti na TV.
Ndio umeandika nn hapa we B7FC????
 
Back
Top Bottom