Tofauti Kati ya vita na special Operation

Tofauti Kati ya vita na special Operation

Amejichimbia kwenye Handaki kama Saddam Hussein
We upo huru lakini unamaisha magumu ona Pres..Putin anaendesha Ops Nchi jirani afu anamwagilia moyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20220825-193116.jpg
 
Niongeze swali hapo Je operation inahusisha idadi fulani ya wanajeshi au namba yeyote tu unapeleka kulingana na uhitaji na upatikanaji wa wapiganaji?
 
-operation anachagua maeneo muhimi ya kupiga
-operation anapambana na wanajeshi,haui RAIA
-operation anawataarifu RAIA wajiandae kuondoka sehemu husika-lengo kuangamiza jeshi husika.
Hayo ni machache kwa lugha ya ki layman.
Sasa mbona Russia haya yote hafanyi na bado anaiita operation?! Halafu operation gani inadumu miezi saba?!
 
Mbona wanashambulia ukumbi za sinema na shule
Kama majeshi ya Ukraine yanaweka kambi na vifaa vya kijeshi mashuleni, hospitali na kwenye maeneo mengine ya kijamii wakifanya mashambulizi tokea maeneo hayo huku wakiwatumia raia kama kinga yao, ulitegemea majeshi ya Urusi yawapelekee pipi, biskuti na juice cola?

 
Back
Top Bottom