Tofauti kati ya tgts na tgs

Tofauti kati ya tgts na tgs

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Habari wana jukwaa naomba kufahamishwa utofauti uliopo kati ya TGTS na TGS kimaana.

Je, mtu ukiambiwa kuwa utaanza na mshahara wa TGTS C1 ni sawa na atakaeambiwa kuwa ataanzia na TGS C1?
 
Habar wana jukwaa naomba kufahamishwa utofauti uliopo kati ya TGTS NA TGS Kimaana na pia Je? mtu ukiambiwa kuwa utaanza na mshahara wa TGTS C1 ni sawa na atakaeambiwa kuwa ataanzia na TGS C1???


tgts ni scale ya walimu huku tgs ni kwa watumishi Wa serikali kuu na taasisi zake
 
ninachojua mimi tgts ni kwa ajili ya teaching staff na tgs ni kwa ajili ya non teaching staff
 
nawashukuruni sana kwa kunitoa tongotongo...
 
Tgts =tanzania government teachers salary
tgs = tanzania government salary
 
tgts ni kwa ajili ya waalimu na tgs ni kwa ajili ya waajiriwa wengineo wa serekalini
 
Back
Top Bottom