Tofauti kati ya ordinary diploma na advanced diploma?

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
342
naombeni kujuzwa kwa anayefaham tofauti kati ya ordinary diploma na advanced diploma make hiv v2 wiwili vnanchanganya cjuh tofaut yake!
 
Ordinary diploma ni 2years program study to qualify degree. Advanced diploma ni 3 years program to qualfy masters program/ post graduate i.e termed as equivalent to degree. Ila vigezo na masharti kuzingatiwa kuwa qualified to the master stdz ima uwe advanced diploma au degree holder. Kwahiyo in Tanzania ordinary diploma ni tofauti na advanced diploma bt termed as equivqlent to degree, ndiomaana ilishafutwa na serikali tangu 2008/2009. Na hao ma graduate kazini wanafanana mishahara, position n.k
 
advance diploma unasoma mwaka mmoja tyu kusoma degree
na diploma unasomea degree kwa miaka mi3

Advance Diploma sometymz iz called a HIGHER DIPLOMER

nawasilishaaaa

BY Lewanga Jr
Higher diploma ni tofauti na advanced diploma kaka, advanced diploma anasoma miaka mitatu na equivalent to degree , lakin higher diploma ni NTA level 7 ambayo MTU akiwa anasoma degree akaamua kusitisha masomo akiwa mwaka wapili ameumaliza vizuri ndo anapewa HIGHER DIPLOMA UNITS ZAKE 346 ZINAKOSA KIDOGO KAMA UNIT 48 KUTIMIA ZA DEGREE , ila higher diploma iko chini ya advanced diploma na iko juu ya ordinary diploma kwa system ya tz
 
naombeni kujuzwa kwa anayefaham tofauti kati ya ordinary diploma na advanced diploma make hiv v2 wiwili vnanchanganya cjuh tofaut yake!

ordinary diploma na advanced/higher diploma zote ni ngazi za elimu katika katika mfumo wa nacte ambapo nacte wao wanatumia NTA levels (national technical awards) ambapo ordinary diploma ni NTA level 6 (2 years) na advanced/higher diploma ni NTA level 7 (2 years) sasa ili mtu mwenye advanced/higher diploma awe equivalent na degree holder anasoma NTA level 8 (1 year)
 
Higher diploma ni tofauti na advanced diploma kaka, advanced diploma anasoma miaka mitatu na equivalent to degree , lakin higher diploma ni NTA level 7 ambayo MTU akiwa anasoma degree akaamua kusitisha masomo akiwa mwaka wapili ameumaliza vizuri ndo anapewa HIGHER DIPLOMA UNITS ZAKE 346 ZINAKOSA KIDOGO KAMA UNIT 48 KUTIMIA ZA DEGREE , ila higher diploma iko chini ya advanced diploma na iko juu ya ordinary diploma kwa system ya tz
Advance diploma ya kitu gani inayosomwa miaka mitatu

Nijuavyo ordinary diploma ni miaka mitatu kwa kada ya afya na Advanced diploma or higher diploma ni miaka miwili

Baadhi ya kozi wameondosha hii advance diploma
 
ordinary diploma na advanced/higher diploma zote ni ngazi za elimu katika katika mfumo wa nacte ambapo nacte wao wanatumia NTA levels (national technical awards) ambapo ordinary diploma ni NTA level 6 (2 years) na advanced/higher diploma ni NTA level 7 (2 years) sasa ili mtu mwenye advanced/higher diploma awe equivalent na degree holder anasoma NTA level 8 (1 year)
Advanced diploma sio sawa na higher diploma hata kidogo,ila ni kweli kuwa zote ziko nacte.advanced diploma kwa sasa haipo ilikuwa ikitolewa na vyuo vya Kati kama DIT,IFM,IDM etc.advanced diploma was equivalent to bachelor degree.by that time FTC was equivalent to diploma.wanafunz wakagoma wakidemand to be awarded degree kama wale wenzao.kwa hiyo mpaka sasa tz hatutoi advanced diploma.hiyo higher diploma ni intermediate level towards bachelor,it is NTA 7 .
 
Navyoelewa ktk mfumo wa Tanzania, Advance Diploma ni equivalent to Bachelor Degree, ila kwa mfumo wa sasa Advance Diploma ni kama zimekuwa phased outso hamna Chuo kinatoa hizo awards kwa sasa, ila wapo wenye nazo na ziko equivalent to Bachelor Degree
 
Advanced diploma sio sawa na higher diploma hata kidogo,ila ni kweli kuwa zote ziko nacte.advanced diploma kwa sasa haipo ilikuwa ikitolewa na vyuo vya Kati kama DIT,IFM,IDM etc.advanced diploma was equivalent to bachelor degree.by that time FTC was equivalent to diploma.wanafunz wakagoma wakidemand to be awarded degree kama wale wenzao.kwa hiyo mpaka sasa tz hatutoi advanced diploma.hiyo higher diploma ni intermediate level towards bachelor,it is NTA 7 .
Fact
 
Kwahyo mtu anaweza apply chuo akitoka form four moja kwa moja na akasajiliwa na ordinary diploma na akasoma miaka 2 ??
Ulipitia Open University una apply Ordinary Diploma na unasoma mwaka mmoja tu!
 
Back
Top Bottom