Tofauti kati ya mpenzi na mchumba

Tofauti kati ya mpenzi na mchumba

Mpenzi mwanamke au mwanaume ambaye mna mahusiano ya kimapenzi na hakuna life commitments or promises. Mchumba mna commitment na mahusiano officialy known kwa pande zote na taratibu za mahari na utambulisho tayari. Siku hizi vijana wa dotcom hawajui tofauti maana utasikia huyu ni mchumba wakati hata mahusiano hayatambuliwi wala kishika uchumba hakijatolewa.
 
shukrani sana Zogwale
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom