Tofauti kati ya mke wa ndoa na mchepuko

Tofauti kati ya mke wa ndoa na mchepuko

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
2,742
Reaction score
2,906
Mke ni kama Tv na
Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.

Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.

Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.

Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu ni nzuri, nyembamba, na ni rahisi kubeba.

Gharama za huduma za tv ni ndogo sana, Lakini gharama za huduma za Simu ni kubwa na pia ni lazima kuzitimiza.

Tv ina remote lakini Simu haina.

Kitu muhimu zaidi simu ina njia mbili za kuwasiliana unaongea na unasikiliza lakini Tv unalazimika kusikiliza hata kama hutaki au unataka.

Unaweza kununua Tv mara moja na ukatumia kwa kipindi kirefu lakini Simu mara zote unabadilisha inategemea na fasheni.

Ya mwisho na ya kuzingatia

Tv haina [HASHTAG]#Virusi[/HASHTAG] lakini Simu inayo.

KUWA MAKINI.
 
hahahaaaa... hizi fasihi zitumikazo kwenye haya mambo zingewekewa mkazo katika kusambaza kiswahili nina hakika mpaka India wangeongea vizuri mnoo.

leta ufala nilete upuruzi. Nitapambana
 
Mke ni kama Tv na
Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.

Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.

Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.

Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu ni nzuri, nyembamba, na ni rahisi kubeba.

Gharama za huduma za tv ni ndogo sana, Lakini gharama za huduma za Simu ni kubwa na pia ni lazima kuzitimiza.

Tv ina remote lakini Simu haina.

Kitu muhimu zaidi simu ina njia mbili za kuwasiliana unaongea na unasikiliza lakini Tv unalazimika kusikiliza hata kama hutaki au unataka.

Unaweza kununua Tv mara moja na ukatumia kwa kipindi kirefu lakini Simu mara zote unabadilisha inategemea na fasheni.

Ya mwisho na ya kuzingatia

Tv haina [HASHTAG]#Virusi[/HASHTAG] lakini Simu inayo.

KUWA MAKINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TV yako ni SIMU ya mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom