Tofauti kati ya Hayati Magufuli na Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu

Tofauti kati ya Hayati Magufuli na Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu

Mkoba wa Mama

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2021
Posts
280
Reaction score
173
Magufuli alibadili baadhi ya majina ya wagombea ubunge walioshinda kura za maoni na kuteua wengine ili kuweka mambo sawa ndani ya chama na kwenye majimbo husika.

Sababu ni kwamba baadhi ya majimbo wabunge walikuwa wameyageuza kama mali yao binafsi, au kulikuwa na mpasuko mkubwa miongoni mwa wana CCM (team).

Mfano mmoja ni jimbo la Busega, kati ya Kamani na Chegeni.

Lakini kitu anachokifanya Samia kwa baadhi ya wabunge, mfano alichokifanya kwa Gwajima na Mpina, ni fitina, kwa sababu tu wameenda tofauti na anavyofikiri yeye.

Kama na Magufuli angeamua kufanya kwa fitina kama anavyofanya Samia sasa, sidhani kama Nape na Makamba wangekuwa bungeni leo. Hata Hayati Dkt. Ndugulile sidhani kama angerudi bungeni mwaka 2020, na wengine wengi tu akiwemo Gwajima mwenyewe.

NB: Samia alienda ziara Kanda ya Ziwa kupima upepo unasomekaje kuelekea Oktoba.
 
Wewe sema una mapenzi na Magufuli tu ila madudu aliyofanyaga jamaa kwenye uchaguzi eiza wa ndani ya ccm au wa Taifa wala usimsifu
 
Kwenye issues za utawala bora na demokrasia usimtetee JPM, hakufanya vizuri hata kidogo. Kuna mambo ukimsema vibaya unakosea, ila utawala bora na demokrasia, hapana!
 
Wewe sema una mapenzi na Magufuli tu ila madudu aliyofanyaga jamaa kwenye uchaguzi eiza wa ndani ya ccm au wa Taifa wala usimsifu
kambaku anachosema jamaa nikweli Leo,makamba jr,nape and the like wasinge kuwa bungeni hata kosa la gwaji na mpina halionekani labda km tumbo linafanya kazi ya kichwa.
 
Kwenye issues za utawala bora na demokrasia usimtetee JPM, hakufanya vizuri hata kidogo. Kuna mambo ukimsema vibaya unakosea, ila utawala bora na demokrasia, hapana!
Na ametuachia hii hali ambayo mpaka kurekebishika sijui itakuwa Karne ngapi
 
Back
Top Bottom