Hivi siwezi kuifuta TBC kwenye king'amuzi changu?
hapana aise bora dialo ijapo naye ni lisisiem mara mia na startiv yake kuliko tbcTBC inalinganishwa na Star TV...sio BBC mkuu
Unaishi mara moja tu hapa duniani, ya nini ukomae na vibovu mkuu? Kuwa mzalendo ktk kilicho bora kibaya potezea.Najitahid kujijengea uzalendo kupenda vya kwetu...TBC
Kama star tv ninaangalia futuhi tu je TBC nitaangalia nini?TBC inalinganishwa na Star TV...sio BBC mkuu
[emoji3] [emoji3] naona umejibu positiveHivi siwezi kuifuta TBC kwenye king'amuzi changu?