cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,152
- 1,855
habar wanajamvi! kwa yeyote anayefaham tofaut kati ya smart tv na smart android tv naomba anifahamishe maana nimekuwa nikitatizwa sana na tofaut ya maneno aya, unakuta baadhi ya flat wameandika tv smart na nyingine wameandika tv smart android sasa apo tofauti yake hasa ni kitu gan ukiacha tofauti ya ilo neno android? chief mkwawa unaweza kunisaidia tofaut ya hizo tv tafadhali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app