today is my special day..................

Haha bora din kuliko jinsia...
Shikamoo babu

Marahaba kajukuu, nna siku nyingi sana sijapata PM yako. Hebu fanya maarifa tafazali.......:A S 39:
 
Happybday miss chaga!!live long life!!
 
Nasikitika kwamba kwenye hii list sikutajwa, anyway akufukuzae akuambii tokaaa.......yaani hata birthday yako ulinificha. Mmmmmh haya hata kama vipi "happy birthday dear one"
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika kwamba kwenye hii list sikutajwa, anyway akufukuzae akuambii tokaaa.......yaani hata birthday yako ulinificha. Mmmmmh haya hata kama vipi "happy birthday dear one"

jamani baby samahani umefikaje huku rafiki ni mda mrefu sana ,.... kwa wakati ule ulikuwa umepotea kidogo ila usijali ure still mine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…