Happy birthday mpenzi!!Matumaini yangu unapenda chocolate cake :A S-heart-2:
View attachment 124295
kuku ni kuku jogoo jina
haya mama liwa na ulike vyema, panua na upanuke vyema, inama na unimike vyema, jiachie tobo na utoboke vyema
Kabisa....mimi ni mbunifu sana ikijia kwenye makitu kama hiyo!Hii makitu imenifanya nipate njaa!!!
mimi49 unaweza kunitengenezea hiyo?
heri ya kuzaliwa mama matarimo..
Eases w end e ee
Kabisa....mimi ni mbunifu sana ikijia kwenye makitu kama hiyo!
Have a blast-Happy barthdoy.
^^
Mungu akupe kila lenye kheri,
Akuepushe na kila lenye shari,
Akukinge na kila lenye hatari,
Ufanikiwe katika kila fahari,
miss chagga ufike mbali kimaisha
^^