Toa wazo bora la biashara ujishidie pesa tasilimu

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,333
5,291
Mwana JF,

Atakae toa wazo bora la biashara halali katika jiji la dar na wana jf walio wengi wakaridhia na liwe na mtaji wa three million kwa mara ya kwanza nitatoa zawadi ya pesa tasilimu ambazo nitazikazibidhi kwa mkuu invisble kabla ya kutangaza mshindi.

Tumpate mshindi kabla ya 10/1/2016
 
WE SEMA USAIDIWE WAZO LA BIASHARA NA SIO SHINDANO maana wazo la biashara ni mtaji wa mtu, kuna watu wamejiajiri katka kutoa mawazo ya biashara na wanalipwa kwa ushauri wao ACHA LONGOLONGO, ANGALIA MAPUNGUFU YA MAENEO UNAYOISHI
 
ASANTE msamchris mimi Nina mawazo kibao ya biashara lkn siwezi kuyaweka humu. Aweke no ya cm apigiwe biashara ifanyike.
 
WAZO LA KWANZA: kipindi hiki cha joto vinywaji/maji/soda vinanunulika sana FUNGUA DUKA LA JUMLA LA VINYWAJI
=>LA PILI: BIASHARA YA KUSAFIRISHA MKAA UNANUNUA GUNIA 100kg kwa 25,000/= unauza DAR 60,000/=
Usafiri kwa gunia moja ni 10,000/= KODI YA SERIKALI KUU NA YA MITAA LAZIMA la sivyo watakufilisi
CHANGAMOTO:
=>nyakati za mvua/masika uchomaji wa mkaa ni shida
=>vibali ni shida ila kuna njia mbadala lakini kodi ni lazima
 
wasiliana na OPTIMAX BUSINESS CONSULTING FIRM, 0752 05 04 53 au o689 09 17 85 kwa namba ya airtel ni ujumbe mfupi wa maneno(SMS)
pekee!!
 
Mwana JF,

Atakae toa wazo bora la biashara halali katika jiji la dar na wana jf walio wengi wakaridhia na liwe na mtaji wa three million kwa mara ya kwanza nitatoa zawadi ya pesa tasilimu ambazo nitazikazibidhi kwa mkuu invisble kabla ya kutangaza mshindi.

Tumpate mshindi kabla ya 10/1/2016
Siku hizi watu wanpenda kuzikwa kifahari sana na Kinondoni kumejaa fungua graveyards weka mazingira safi barabara nk. Ila usije ukawa wa kwanza kuzikwa
 
Back
Top Bottom