Raphael phockus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 778
- 4,518
Toa ushuhuda wako ni kipi unakumbuka juu ya picha hii?
Wahuni siyo watu.
Wahuni siyo watu.
Nalikumbuka ilo tukio....si pale LutihindaMimi nilipiga safa (kutoka ila skuli hufiki) na jamaa zangu wawili kama mwezi hivi ikabidi iundwe team ya kutusaka ya wababe na wanariadha wa shule.
Siku moja hatuna hili wala lile tulifukuzwa kinyama mkimbizo ule wa kimya kimya mtaani watu wanatoa macho tu, tulidakwa wawili jamaa yetu mmoja aka save.
Kufikishwa skuli tulikula fimbo sio chini ya 40 kila mmoja, ogopa mwalimu anachapa mpaka anatokwa jasho alafu ni mmama chibonge na ni rafiki wa bi mkubwa. Kufika home nikala tena kichapo sikuweza kukaa week na shule sikuenda mpaka nikapona.
Hapana mkuu ni Arusha huku, huko ulipptaja kwanza ndio napasikia leo.Nalikumbuka ilo tukio....si pale Lutihinda