Toa ushuhuda wako ni nini unakumbuka juu ya picha hii?

Raphael phockus

JF-Expert Member
Nov 4, 2018
778
4,518
Toa ushuhuda wako ni kipi unakumbuka juu ya picha hii?
FB_IMG_15795443101850296.jpg

Wahuni siyo watu.
 
Mimi nilipiga safa (kutoka home ila skuli hufiki) na jamaa zangu wawili kama mwezi hivi ikabidi iundwe team ya kutusaka ya wababe na wanariadha wa shule.

Siku moja hatuna hili wala lile tulifukuzwa kinyama mkimbizo ule wa kimya kimya mtaani watu wanatoa macho tu, tulidakwa wawili jamaa yetu mmoja aka save.

Kufikishwa skuli tulikula fimbo sio chini ya 40 kila mmoja, ogopa mwalimu anachapa mpaka anatokwa jasho alafu ni mmama chibonge na ni rafiki wa bi mkubwa. Kufika home nikala tena kichapo sikuweza kukaa week na shule sikuenda mpaka nikapona.
 
Mimi nilipiga safa (kutoka ila skuli hufiki) na jamaa zangu wawili kama mwezi hivi ikabidi iundwe team ya kutusaka ya wababe na wanariadha wa shule.

Siku moja hatuna hili wala lile tulifukuzwa kinyama mkimbizo ule wa kimya kimya mtaani watu wanatoa macho tu, tulidakwa wawili jamaa yetu mmoja aka save.

Kufikishwa skuli tulikula fimbo sio chini ya 40 kila mmoja, ogopa mwalimu anachapa mpaka anatokwa jasho alafu ni mmama chibonge na ni rafiki wa bi mkubwa. Kufika home nikala tena kichapo sikuweza kukaa week na shule sikuenda mpaka nikapona.
Nalikumbuka ilo tukio....si pale Lutihinda
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom