Hongera mkuu!
Nakushauri usiwe na papara, umri wako bila kufanya mapenzi mimi nakupa thumbs-up!
Wala mtu asikudanganye eti utakosa uzoefu, kwangu sidhani "kufanya mazoezi " ndo kupata uzoefu, vuta subra, omba Mungu akupe ubavu wako then utafurahia game ndani ya ndoa..... usitusikilize sisi tulioanza o'level, hamna faida yoyote, tumeumizana roho, tumebadilisha na kujaza vi'noah' na hamna la maana tulilovuna.