Toa mchungaji ingiza Askofu

Toa mchungaji ingiza Askofu

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,203
Reaction score
1,001
Wananchi wameamua pakubwa sana ,wakaona wafanye juu chini waongeze nguvu ya maombi na upako mjengoni maana kusutana na vijembe viitawala sana Bunge lilopita.

Watanzania walimtegemea na Mch Msigwa naye akawa bize kujenga chama akasahau kiliombea Mbunge, wananchi wakaona walifanya makosa makubwa pale ni sehemu ya Heshima sana, ngoja tutoe Msigwa tulete Asikofu Gwajima boy, hapo sasa ngoma inogile.
 
Back
Top Bottom