Toa Baby Madaha kwenye ujaji wa Maisha Plus

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
Hii kitu tulikuwa tunaijadili jana lakini kutokana na sababu za kiufundi ilipotea, tuendeleeni wakuu...

Masoud na uongozi wa maisha plus, tafadharini mtoeni Baby Madaha kwenye kiti cha ujaji, she doest fit the bil, laa sivyo mtapokeza washabiki wenu wengi, huyu mwana dada hajatulia na maswali yake mara nyingi huwa hayana maana na wala hayampi changamoto yoyote kijana wa kitanzania kitu kingine huwa anapenda sana kuingilia pindi majaji wengine wanapokuwa wanauliza maswali na vimaswali vyake vya ovyo ovyo, plase get her out of the show, au mtafutieni kazi nyingine.

MJ
 
Mkuu kumbe umeona huu uchafu eeh, i real hate this woman na viswali vyake kichaa.

Maswali anayouliza huwa nashangaa kwanini hadi leo hao kina kipanya eti
bado wapo nae kwenye panel ni upuuzi mtupu.
 
Nawasifu vijana wa Dar ambao walionyeshwa this week walipokuwa wanahojiwa, most of them wana ufahamu mkubwa kumzidi! Kuna kijana anasoma nadhani certificate ya sheria, alimjibu kwa ufasha sana kiasi vitu vingi vilimchanganya yule dada, akaishia kuadhirika! Shame on her!
 
Mkuu kumbe umeona huu uchafu eeh, i real hate this woman na viswali vyake kichaa.

Maswali anayouliza huwa nashangaa kwanini hadi leo hao kina kipanya eti
bado wapo nae kwenye panel ni upuuzi mtupu.

Sasa huyu ndiye judge, unategemea vijana wetu wanapata changamoto gani, she's ovyo ovyo
 
Nawasifu vijana wa Dar ambao walionyeshwa this week walipokuwa wanahojiwa, most of them wana ufahamu mkubwa kumzidi! Kuna kijana anasoma nadhani certificate ya sheria, alimjibu kwa ufasha sana kiasi vitu vingi vilimchanganya yule dada, akaishia kuadhirika! Shame on her!

Was expecting this, na bado...mimi siangalii hii Tv show tena.
 
dada hafai hata kidogo, huwa anachangia sana nikose kufuatilia kile kipindi, sijui kwa nini Masoud bado yupo nae
 
huyu shori anapenda kutongozwa sana......anawaambia jamaa weamshawishi kwa aamke....sh!t!
 
Back
Top Bottom